2 Chronicles 4:1

Vifaa Vya Hekalu

(1 Wafalme 7:23-51)

1 aMfalme Solomoni akatengeneza madhabahu ya shaba yenye urefu wa dhiraa ishirini,
Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.
upana wa dhiraa ishirini na kimo chake dhiraa kumi.
Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5.
Copyright information for SwhNEN